Cifra Club

Ngarambe (feat. Pop Karly)

Leteipa the King

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Kameshona kama kiondoo
Kifuani niembe Ukitaka ujimenyee, Kama kametoka Bondo
Kanavyonyandua dompo, Hakajaalikwa kinywaji kajiekee, bado kanatepa bondoo
Kanadai wine na cider zinaboo
Form ni mangwai mawada na machrome
Na kamedecide, kuwahi Chali Masai
Juu size ya kijinai ni fine na Wana dooh
She likes castles na hakadai hustle
She is like mambo please nadai bundles
Please kabuy sandals, hills ziwahi kando
Mi sidai scandals maybe nikuwahi cuddle

Kitega uchumi chake saidong'i (eeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
Hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeh)

(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

Slay queen anadai mtu pesa
Bila doh anadai utamtesa
Ukiwa nazo pia anadai kuziwaste aah
Cheza mbali bro lenga hizo stress
We ni tapeli umepatana na matheri
Zako vako we huwezi nitapeli
Zako vako we huwezi bonga kweli
Sura chura basi kama nakejeli
After this Kuna wale watacatch
Mi sijali kama ngoma umekutouch
Nishasema so siwezi nikareverse
Get a life basi kama nakujudge
(Ngarambe nyosto Ngarambe)

Kitega uchumi chake saidong'i (eeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
Hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeh)

(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

Unafaa kuwa pedi, unavyopenda kumedi
Princess pat na unaflash mpaka zedi
Una deals shady unavyopenda mijeledi
Sikuchochi naona ukikufa na ukedi
Kufua hupendi, na bafu huendi
Unasubiria mkapige sheshe wikendi
Aah

(Ngarambe nyosto Ngarambe)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK