Cifra Club

Nipende Mimi

Leteipa the King

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Umeketi, kwa corner, Ukifikiria
Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia
Any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako dear
Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea
Umesahau kiatu chako Kipo
Kimetengezwa tu kwa ajili yako

Ukiwa kwenye shiida
Unajililia
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie

Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio
They used you na sasa wanakuita kifagio
But nipende mimi
Nipende mimi

You think that, you are lonely
Coz no one is close to you
And even those that, are closer, they never bother to fight for you
Umeapa kamwe, hutawahi penda
Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda
Give me a chance to prove your statement is wrong
Naapa kwa wote wanaoskiza this song

Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio, kilio kiliioo

Ukiwa kwenye shiida
Unajililia
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK