Cifra Club

Sorry

M Nex Nex I

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

m nex
ulikuwa ni mpenzi wangu, na moyo wako haukuwa mbali na mi
nilidhani utakuwa wangu, na ndoto zangu zinafeli yani siamini
hata uki-post, naona unanisema mimi, naishi kwa kujishuku

na wala sio mbali, ni juzi tu, ulikuwa na mi
tulipiga picha wewe na mi, penzi likashamili
na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili

Oh baby! Sorry! , sorry! Sorry!
Oh now i'm worrying, worrying, worrying
Oh baby sorry, sorry, sorry
Oh now i'm worrying, worrying, worrying

namiss zile snap chat ulinitumia, video call night ulinipigia
namiss tabasamu lako, sio utani naumia mwenzako
na utakua unafeli kama ukinichunia, sms haujibu ata nikikutumia
so fanya tuyajenge mana nimekosea, i promise, siwezi kurudia
tulipiga picha wewe na mi, penzi likashamili
na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili

Oh baby! Sorry! Sorry! Sorry!
Oh now i'm worrying, worrying, worrying
Oh baby sorry, sorry, sorry
Oh now i'm worrying, worrying, worrying

It's a trap house records

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK