Cifra Club

Lola (feat. Masauti)

Nadia Mukami

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Aah, aah, aah, beiby
Aah, aah, aah, lola
Aah, aah, aah (aah)
Aah, aah, aah
Motif did on

Nashangaa na hizi pesa
Nilijikuta tu kivyangu
Ati mwanzoni ulinipenda
Akabisha shetani huku kwetu
Lakini mbona hukuniambia?
Jasiri, nijulie mitandaoni
Ukweli ukaukimbia
Ati mhusika ndo shetani
Ama ni kiki unatafutia?
Ndo maombi yangu moyoni
Ama ni showbiz na hujaniambia?
Nisijitese akilini

Ona tulianza bila mapeni
Na leo tuna magari
Nimekosa nini jameni?
Si ulitaka aliye maarufu
Uwape stori magazeti
Matusi pande mbili
Kipenzi cha watu jamani
Walitupenda sote wawili, ila

Lola, yamemwagika hayazoleki
Lola (lola)
Lola, yamemwagika hayazoleki
Lola, yamemwagika bas

Lola, sasa umeniacha na nani?
Lola, rudi kwangu mimi
Lola, sasa umeniacha na nani mama yoh?
Lola, rudi kwangu mimi

Mimi nimeunguka
Sina hata haja kukutazama kwenye sura
Nilo yafichaa
Mwangu moyoni, yote unayajua
Naona aibu
Mpaka kwa marafiki zangu
Imekuwa chungu
Kwa tamaa zangu

Nadia ulinipendaga
Na mapenzi yalinoga
Me ndio nilikumwaga
Nakuomba msamaha wangu mama
Basi usiniadhibu
Kwa kosa tayari nimekubali
Acha kunihusudu
Kila mahali ni mimi mitandaoni

Kugombana sio suluhisho mama
Aah, aah
Tusizidi kuvunja mwiko mama
Wa mapenzi yetu mi na we

Lola, sasa unaniacha na nani?
Lola, rudi kwangu mimi
Lola, sasa unaniacha na nani mama yoh?
Lola, rudi kwangu mimi (mama yoh)

Lola, yamemwagika hayazoleki
Lola (lola)
Lola, yamemwagika hayazoleki
Lola, yamemwagika baba

Umefanya pombe kuwa pacha wangu
Kichwa ni mawazo
Kichwani mwangu ooh
Na si unajua, nakupenda wewe iyee

Hayazoleki (hayazoleki)
Wowowowowowowo
Nadia, Nadia wewe
Nakupenda ooh

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK