Cifra Club

Flavour

Sanaipei Tande

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Oh-oh-oh-oh

Nagutuka nkikumbuka
Jinsi unavyonipenda mimi-i-i-i-i
Ooh baby-i-i-i-i
Na kinywa changu chapanuka
Kwa jinsi navyokupenda mimi-i-i-i-i
Oh, baby I-i-i-i

Naogopa hata kuliwaza wazo
Ningelikuwa wapi kama nisingelikutana na weh
Nisingelipatana na weh
Naogopa hata kuliwaza wazo
Ningelikuwa na nani kama nisingelikuwa na weh
Nisingelipatana na weh

Nimejaa jaa jaa
Na raha, raha, raha
You're so perfect
You're so worthy
Nimejaa jaa jaa
Na raha, raha, raha
You're so perfect
You're so worthy

Baby, baby, you're my flavour! (Flavour)
Takupenda maisha yangu yote yaani forever!
Nikufuate utakakoenda yaani wherever!
Wasifaulu wakututenganisha yaani never!
Ever and ever!

Oh-oh-oh-oh

Kama ua, napapatua
Jinsi ulivyoteka mimi-i-i-i-i
Ooh baby-i-i-i-i
Weh ndio taa kwenye kiza
Jinsi unavyoni-beba mimi-i-i-i-i
Ooh baby-i-i-i-i

Naogopa hata kuliwaza wazo
Ningelikuwa wapi kama nisingelikutana na weh
Nisingelipatana na weh
Naogopa hata kuliwaza wazo
Ningelikuwa na nani kama nisingelikuwa na weh
Nisingelipatana na weh

Nimejaa jaa jaa
Na raha, raha, raha
You're so perfect
You're so worthy
Nimejaa jaa jaa
Na raha, raha, raha
You're so perfect
You're so worthy

Baby, baby, you're my flavour! (Flavour)
Takupenda maisha

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK