He yeah, yee
Ooh
Machozi atiririka, moyo ababaika
Mawazo yamenijaa
(Hali jani hii, hali jani hii)
Mwili anitetema, magu yamezisima
Wogo umenijaa
(Hali jani hii, hali jani hii)
Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke)
Palipo (pema)
Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke)
Palipo (pema)
Nidhania
Moyu wangu (ah, ah)
Mukuita (aah ah)
Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe
Wazazi wamenipia, kaniacha mi achima
Shida zimenijaa
(Hali jani hii, hali jani hii)
Magonjwa yameenea, na mi kanilemea
Kifoka nizungukaa
(Hali jani hii, hali jani hii)
Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke)
Palipo (pema)
Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke)
Palipo (pema)
Nidhania
Moyu wangu (ah, ah)
Mukuita (aah ah)
Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe
No, I did not plan my misery
No, I didn't foresee my destiny
So I (so I) am asking you to help me
Nidhania
Moyu wangu (ah, ah)
Mukuita (aah ah)
Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe
Nidhania
Moyu wangu (ah, ah)
Kwa kuita (aah ah)
Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe