Cifra Club

Ukiwa Mbali (feat. Nviiri The Storyteller)

Sauti Sol

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Sol, generation
Merry Christmas to the nation

Tulianza mwaka tukiwa wengi
Wengine hawakumaliza
Tukapanga nayo mipango mingi
Lakini chache zikatimizwa

Sasa sherehe kwa church wengine kwa bar
Count your blessings vile inafaa
Ya Mola ni mengi shetani hawezi pangua

Salama kwako mama Nairobi kuko sawa
Nilipatana na vijana tukaimba Extravaganza
Crystal akajulikana, asante Maulana
Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Christmass nile na wewe

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe

Siku hizi kuwa na sherehe bila wewe
Mpenzi harakisha usichelewe
Nilizaliwa Disemba kama wewe
Njoo njoo unibembeleze

Moyoni ni mengi ninatarajiaga
Na mbinguni na dunia
Ili niwe na wewe muda unawadia
Njoo nile rhumba na wewe

Timing
Imeharibiwa na kazi
Na sijui nitafanyaje
Nichome moja na wewe

Niko grinding
Na nimekushikia zawadi
Yaani, sijui nitafikaje
Ningependa nikupe mwenyewe

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Christmass nile na wewe

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe

Ooh, anywhere you are, Sol
Naomba Christmass nile na wewe
Ooh, anywhere you are, Sol
Naomba Christmass nile na wewe

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Christmass nile na wewe

Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe

Umoja natamani
Nivuke mwaka na wewe

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK