Cifra Club

Bado (feat. Rayvanny)

Vanessa Mdee

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

S2Kizzy baby
Vee Money on the track yeah

Kipendacho roho, hula nyama mbichi baby
Nobody knows that you are down for me
Baby niruhusu nideke, nisichekwe
Iwe kwa ngumi mateke, tuwe sote

'Cause kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio

Baby you know (bado)
The way that I know (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Ooh baby you know (bado)
Mi kufanya nikusahau (bado)
Mpaka mi nikushushe dau (bado)
Mi sipendagi madharau (bado)

Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput

(Vanny Boom)
Alamba alamba
Tamu tamu katoa maganda
Makibanda misamba
Makarate kavunja kitanda

Eeeh kanitekenya tekenya (ayee kanitekenya)
Me napekenya pekenya (ayee mi napekenya)
Kocho korokocho (ayee)
Nikugande kiroboto (ayee)
Njoo nikupe Burungutu (ayee)
Mi kwako Zumbukuku (ayee)

Yeah, kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio
Kila mara akili yangu wewe tu
Umenifanya nimezama mwenzio

Baby you know (bado)
The way that I know (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Ooh baby you know (bado)
Mi kufanya nikusahau (bado)
Mpaka mi nikushushe dau (bado)
Mi sipendagi madharau (bado)

Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput
Nusu kaput
Umenipiga nusu kaput

Baby you know (bado)
The way that I know (bado)
The thing that you do (bado)
The way I love you (bado)
Ooh baby you know (bado)
Mi kufanya nikusahau (bado)
Mpaka mi nikushushe dau (bado)
Mi sipendagi madharau (bado)

The mix killer
S2Kizzy, baby

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK