Cifra Club

Intro

Vanessa Mdee

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Have you ever been in love?
Umeshawai kumpoteza umpendae
Ushawai kuchagua wakati ya ajira yako na mapenzi
Ushawai kujichukia na kujiona hufai
Kwenye haya maisha kwa ajili ya mapenzi
Kumbuka hakuna ukingo mpaka mwisho wa pumzi yako
Na unaweza kuanza upya mda wowote
Kwa sababu kila mwisho wa jumapili
Ni mwanzo wa jumatato
Usiogope kuanza upya
Money Mondays

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK