Cifra Club

Pete (feat. Kidum)

Alicios

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Visha pete, mm
Uh huh!

Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete
Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete

Bolingo na ngai
Nako pesa na mosusu te
Bomoi na ngai
Avant you cheri ezalaki pasi
Kotika ngai te
Zala wa ngai ti lilita
Lelo tobalani
Moto te ako kabola

Wale wenye chuki
Hawa jui tutokako
Wata jua je
Kule tuendako
Kaa karibu nami
Naku ahidi milele
Penzi letu jana leo pia kesho oh

Mpenzi kaa nami (kaa nami)
Letu penzi (letu penzi)
Tu enzi (njoo tu enzi)
Wacha (waacha)
Waseme (wacha waseme eh)
Kwani usiku
Wata lala

Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete
Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete
(Nita ku visha pete)

Siwezi sikiza ya watu
Mapenzi unayo nipa ni ya kipekee (kipekee)
Una ni bembeleza
Una nifanya nahisi mimi mfalme
Nani kama mi mataani hapa
Watu wenye wivu (usi jali mambo yao)
Kelele na vitisho (zina nileta karibu nawe)
Roho yangu iki uma (napata hifathi kwako)
Kwa hivyo mpenzi wangu
Tembea sasa, tembea sasa uki ringa

Mpenzi (mpenzi we)
Kaa nami (kaa na mimi hapa)
Letu penzi
Tu enzi (mpenzi wee wee)
Wacha (leta kidole)
Waseme (pete)
Kwani usiku (mpenzi wewe)
Wata lala (nita kuvisha pete)

Mpenzi
Kaa nami (pete)
Letu penzi (kaa nami)
Tu enzi
Wacha (leta kidole)
Waseme (pete)
Kwani usiku
Wata lala (nita kuvisha pete)

Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete
Anivisha visha pete, anivisha pete
Visha pete

Kokende te
Tikala pembeni na ngai
Usiskize zao maneno
Kwani wata tuharibia
Visha pete

Mpenzi
Kaa nami
Letu penzi
Tu enzi
Wacha
Waseme
Kwani usiku
Wata lala

Ufanye mabaya
Ufanye mazuri
Bado wata ongea ah!
Kwani usiku wata lala

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK