This is Barnaba Boy Classic
If you love someone you have to fight
Goes around, comes around
And this is for you beiby
Noo, ooh, ooh, ooh
Penzi umelipiga parapanda
Uchizi umenipanda
Mpaka nimepatwa kipanda, kipanda uso
Mie barafu kwako mama niliganda
Umeleta joto nimeyeyuka mama
Unanipa maswali, wapi kwenda huko
Penzi umeligeuza karabali
Umegeuka upepo
Umezima zetu ndoto
Rafiki yangu amekuwa kilio
Angali najipa moyo
Nivute subira ila wapi
Moyo umechoka
Kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
Angali nafsi na roho yangu havipendi
Sina mood sijiskii chochote
Moyo wangu jamani
Nyang'a nyang'a ooh
Roho yangu imechoka
Nyang'a nyang'a ooh
Nikufamanie nimechoka
Nyang'a nyang'a ooh
Eeh eeh nyang'a nyang'a ooh
Eeh eeh nyang'a nyang'a ooh
Moyo wangu barafu
Nyang'a nyang'a ooh
Kwenye jua nayeyuka
Nyang'a nyang'a ooh
Ukinivunja nameguka mie
Nyang'a nyang'a ooh
Eh mie, nyang'a nyang'a ooh
Mie, nyang'a nyang'a ooh
Zile subira, subiri huvuta heri
Mimi nimevuta shari
Nilompenda akawa adui
Na mie ndo wake askari
Nilichogundua
Tamu ya mapenzi
Waliopendana wakiachana
Wanakuwa maadui sana
Kuna muda na kubeep na itikali
Nakutumia message yawa
Ukinipigia nakujibu bahati mbaya
Kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
Angali nafsi na roho yangu havipendi
Sina mood sijiskii chochote
Moyo wangu jamani
Nyang'a nyang'a ooh
Roho yangu umechoka
Nyang'a nyang'a ooh
Nikufamanie nimechoka
Nyang'a nyang'a ooh
Eeh eeh nyang'a nyang'a ooh
Eeh eeh nyang'a nyang'a ooh
Moyo wangu barafu
Nyang'a nyang'a ooh
Kwenye jua nayeyuka
Nyang'a nyang'a ooh
Ukinivunja nameguka mie
Nyang'a nyang'a ooh
Eh mie, nyang'a nyang'a ooh
Mie, nyang'a nyang'a ooh