Cifra Club

Siwezi

Eljjah

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

(Özay bitch)

Oh, yeah, yeah
Uooh oh
Yeah, yeah, yeah

Kama nilikuwa nalazimisha na force Ningeacha mapema ooh oh
Muziki akuna mtu
Aliyenishawishi
Kufanya ikikitu yeah eh
Yaani ni kitu ninachokipenda sana ah
Ni kitu nachokipenda ah yeah (ndani ya moyo wangu)

Najua binadamu every time now
Wananipangia mabaya
Wanatamani kuniumiza aah
Ila siwezi kukata tama eh, eh
Ila siwezi kukata tama ah

Najua safari ya mziki
Sio rahisi (sio rahisi)
Tupo wengi tunagombania
Kiti cha moto (yaani kiti cha moto)
Kusesema wale washa toboa (bora niachane nao)
Wengine wapo kibao mtaani
Wanapambana (tu mapambano)

Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha
Siwezi kuacha, siwezi kuacha
Ila siwezi kukuacha, siwezi kuacha ah
Siwezi kuacha mapema yeah, yeah

Yeah wananitakia mabaya (yeah)
Wanakutakia mabaya
Kwa wengine tunawapa hofu ooh (hofu)
Hawa wadogo wakishaona mwanga
Watakuja kutu kanyagia chini

Eh wanasema
Wanasema
Wanasema ah
Mi kwa upande wangu
Nafanya kazi kuendana na uwezo wangu
Siwezi kusikiliza maneno yao oh
Mi naamini one day nitakuwa juu
Ah, ah, ah, ah aah yeah, yeah, yeah!

Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha
Siwezi kuacha, siwezi kuacha
Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha
Siwezi kuacha, siwezi kuacha
Ila siwezi kukuacha, siwezi kuacha ah
Siwezi kuacha mapema yeah, yeah

Mi siwezi
Oh siwezi
Siwezi yeah, yeah

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK