Hahaha, Jeshi
I really sound crazy
Chinga, I wanna sing for my lady oh
Sexy lady mmh
Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo
Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo
Tena unavyojisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama
Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Mmh yeah
Oh, baby I don't even understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata
Ila ndo mapenzi sishangai, yeah
My baby, I don't want a one night stand
Mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till I die
Maana unanipa mawenge (ngengenge)
Mara vichwa mara mwenge (ngengenge)
Kaja gym na kite (tengenge)
Ilimradi uchokozi, aah onananana
Macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi
Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo, mdo
Anataka niteleze kwa ute (hana ubaya)
Nikitapika nisifute (hana ubaya)
Ananifanya nisijute (hana ubaya)
Hana
Say, Chumbani nikukute (hana ubaya)
Na ganja mbili tuvute (hana ubaya)
Na vumbi la Congo ulifute (hana ubaya)
Hana
Kondeboy call me number one
Chinga yes number one
Number one
Hehe