Cifra Club

Kidato Kimoja (feat. Lil Ghetto)

J.I. Juma Issa

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe

Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali ma umenivutia

Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja

Unajua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe
Basi usinikuzishie kidonda, wakati wajua dawa ni wewe

Ntapata mi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa
Kiangazi hata mvua za masika, nikikukosa jua ntaweweseka
Ntapata mi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa
Kiangazi hata mvua za masika, nikikukosa jua ntaweweseka

Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja
Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja

Naamini unanikumbuka, hizo dharau uloleta
Kama tunda limeshawiva, tulibandue maganda
Fikiri, kumbuka tulipotoka
Mama wee, dada wee, unanitesa sana
Mama wee, dada wee, mbona unanichanganya?

Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja
Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK