Cifra Club

Mimi Na Wewe

Jadi

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ooh, ooh
Yeah, eeh

Sema, mtoto mrembo na lace kiunoni
Wema, huo wako uliojaza moyoni
Tena, how you love me
Siwezi eleza mama, aah
Siwezi eleza mama, aah
Umeniteka ndio maana sitaki kwenda
Ndicho kitu sitaki kutenda, hela
Tupate tukose mi nitakupenda
Umeniweza ndio maana nasemaa

Ukienda, nitaenda aah aah
Ukisonga, nitasonga aah aah
Ukienda, nitaenda aah aah
Ukisonga, nitasonga aah

Mimi na wewe, na wewe eh
Mimi na wewe, na wewe eh yeah

Najua baby, tukitoa mali kwenye hesabu (ooh)
Tutajipata, upendo wetu bado unang'aa, unasimama
Mtoto mzuri tazama, tazama
Tazama wanifanya ninawaza
Na tena tabasamu inang'aa
Fahamu jinsi mimi wanifaa
Mtoto mzuri tazama, tazama
Tazama wanifanya ninawaza
Na tena tabasamu inang'aa
Fahamu jinsi mimi wanifaa

Ukienda, nitaenda aah aah
Ukisonga, nitasonga aah aah
Ukienda, nitaenda aah aah
Ukisonga, nitasonga aah

Mimi na wewe, na wewe eh
Mimi na wewe, na wewe eh yeah

Baby, nahitaji niwe kando yako (kando yako)
Maana wanipaa furaha ya moyo (ooh)
Tabia na urembo pia wa kupindukia yanikamilisha baby

Mimi na wewe, na wewe eh
Mimi na wewe, na wewe eh yeah

Eeh, yeah
Mimi na wewe
Mimi na we, Mimi na we
Mimi na Wewe, baby
Yeah, yeah, yeah

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK