Kwenye love niko fofofo
Umenidatisha wewe mtoto
Napiga mbizi maji ya ugoko
Baridi unanipa joto
Ooh baby don't let me go, don't let me go
Ai najua dhamani yako
Just let me know, just let me know
Ai Mimi sitaki ubaki peke yako mama
Aah, aah, aah
Sitaki wewe kuumia
Aah, aah, aah
Ado ado mama ado ado
Aah, aah, aah
Sitaki wewe kuumia
Aah, aah, aah
Eeeh
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I've never seen before
Mama, mama, mama
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I've never seen before
Mama, mama, mama
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Yaani kama ta mama
Wewe umenizimaga
Ila, na watu wanashangaa
Kitu gani mi nakupaga
Na mizigo yote nimeshaitua
Nimefika mwisho wa reli Kigoma
Uzuri wako wote wanajua
Mtoto umenyooka kinoma
Aah, aah, aah
Haa wabishe wakatai
Aah, aah, aah
Hayani mi nyanya nyanya
Aah, aah, aah
Sijiwezi mama sijiwezi
Aah, aah, aah
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I've never seen before
Mama, mama, mama
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I've never seen before
Mama, mama, mama
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni