Cifra Club

Kiburi

Kaberere

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Nakumbuka kesha nilizoenda Baba
Nilikuomba Mungu teletele
Nikikupa mahitaji yangu yaliyokuwa moyoni mwangu
Karura pia nimetembea nakukupa shida zangu Baba
Zote umetimiza wa leo
Mbona moyo wangu umeguza wema wako Baba
Uliyoniangazia kama sina kitu

Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu

Sadaka ibada nikiwa sitoi
Maswali yakaanza kujaa kichwani
Eti mbona najisumbua na wewe
Ikawa nimelegea kiimani
Na kutafuta kwa kutorokea
Dunia mkono wazi ukanipoteza
Natafuta mashimoni nijifiche
Lakini ukanifikia na kunirudisha
Sasa nimejipata
Na kuelewe hakuna kinacholinganishwa
Na Wema Wako Baba yangu

Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu

Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu

Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
Mbona sasa umenibariki kiburi changu

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK