Cifra Club

Wema

Kusah

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ya zamani nikikumbuka
Mbona nitakonda kwa pressure
Oburu nikimbuka
Unasumbuliwa tumbo la njaa

Na mwenzio nimechoka
Sina hata jero ya soda
Eti saidia kaka
Mbona hata Mola atakuona

Unataka uniambie hukumbuki fadhila wewe
Yaani yote nilofanya ni bure una hila wewe
Unataka uniambie hukumbuki fadhila wewe
Yaani yote nilofanya ni bure una hila wewe

Yii aah, yii aah, yii ah
Ah yii aah, yii aah, yii ah
Ah yii aah, yii aah, yii aah
Aah

Umeniweka gizani, wema
Hata mwanga sioni, wema
Ona naumia moyoni, wema
Umeniponza, wemaa

Umeniweka gizani, wema
Hata mwanga sioni, wema
Ona naumia moyoni, wema
Umeniponza, wema

Saa nyingine najiona kama ukungu
Umetanda kwenye njia yangu
Saa nyingine najiona nina ngundu
Nisaidie eeh Mola wangu

Saa nyingine najiona kama ukungu
Umetanda kwenye njia yangu
Saa nyingine najiona nina ngundu
Nisaidie eeh Mola wangu

Maana kila mtu naye mpa moyo
Anaushika anaupasua
Hata yule nilomjali leo hii
Naye ananizungua

Ooh kitanzi
Penzi langu laungua moto
Jamani mapenzi
Yananifanya nalia kama mtoto

Yii aah, yii aah, yii ah
Ah yii aah, yii aah, yii ah
Ah yii aah, yii aah, yii aah
Aah

Umeniweka gizani, wema
Hata mwanga sioni, wema
Ona naumia moyoni, wema
Umeniponza, wemaa

Umeniweka gizani, wema
Hata mwanga sioni, wema
Ona naumia moyoni, wema
Umeniponza, wema

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK