Ooh, sweet music
Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama (Salaama)
Kila binti mjini yeye anapita nae (naae)
Yani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima
Nawaambia kwani nmekutana nae eeeh
Kwa ahadi nyingi muda nikamuazima
Anapenda wengi uyo penzi langu kalizima
Si wakumlilia et anatia aibu uyooo jamani
Tena kuna na mshkaji wangu wa mbezi
Alimkuta na shangazi wanajidunga Johnny Walker na beer
Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae (kila moja)
Yani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima
Bibie suma atoke sijui nani apande
Huyu nae aende, ili mwingine aje
Namkumbuka ananda aliokoka
Changanyikiwa akawa kama mateka
Baby wa Dar es Salama ooh, ooh!
Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae
Yani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima
Hata yule shani alikutana nae
Pete kamvisha na kumdunga mimba
Muda si mrefu yu karibu kujifungua
Kapata habari bwana yule anaoa kwingine
Namkumbuka khadija kawa chapombe
Changanyikiwa akawa mateka
Baby wa Dar es Salama ooh
Sio wangu mimi bali wa Dar es Salaama
Kila binti mjini yeye amenpa mimba
Pita kila kona watoto humuita baba
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es Salaama nzima