Cifra Club

Natamani Kuwa Malaika

Lady Jaydee

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Natamani kuwa malaika
Natamani tena kurudi nyuma
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa kama mtoto

Moyo wangu mweupe kama theluji
Siyawazi mabaya wala chuki duniani
Tabasamu hata kwa adui, kuishi bila kulipa bill
Nikilia nabembelezwa sio sasa napezwa
Nikichoka tembea nabebwa kila kitu mimi nafanyiwa
Malaika, mtoto ni malaika

Natamani kuwa malaika
Natamani tena kurudi nyuma
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa kama mtoto

Kama mimi nisingekuwa mkubwa
Katu nisingejua ada za dunia
Majukumu nisingefikiria, kulala muda ninaoamua
Stress zisingenifika, majaribu nisingepata
Machungu nisingehisia kama hii leo nisingekuwa
Natamani kuwa Malaika ooh

Natamani kuwa malaika
Natamani tena kurudi nyuma
Natamani kuwa kama zamani
Natamani kuwa kama mtoto

Ooh
Nasema ukubwa raha lakini mzigo mkubwa
Ukubwa jalala
Kila unavyozidi kuwa manyang'au yakutamania
Kutamania kukulavua

Natamani kuwa malaika (ooh natamani)
Natamani tena kurudi nyuma (sana sana)
Natamani kuwa kama zamani (zamani ooh)
Natamani kuwa kama mtoto (mtoto mtoto)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK