Am F C G
[Verse 1]
Am F
Nilikuwa natafuta rahisi,
C G
Atakaye kuwa wa kudumu
Am F
Nilikuwa nimekosa tumaini
C G
Kwani binadamu wabadilika kama kinyonga
[Refrain]
Am F C G
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu
Am F C G
Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh
[Chorus]
Am F
Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G
Wewe ni mwaninifu milele
Am F
Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G
Wewe ni mwaninifu milele,
Am F C G
Milele,milele,milele.....
Am F C G
Taratatata
[Verse 2]
Am F
Tena nikapata, marafiki kadhaa
C G
Punde shida ilipoingia nao waliondoka
Am F
Nikalia mpaka nilipokumbuka
C G
Kuwa kuna rafiki asiye badilika
[Refrain]
Am F C G
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu
Am F C G
Nikuwe nawe Yesu, nitaogopa nani nitaogopa nini eeeh
[Chorus]
Am F
Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G
Wewe ni mwaninifu milele
Am F
Najua hutaniacha, pawe na shida pasiwe
C G
Wewe ni mwaninifu milele,
Am F C G
Milele,milele,milele.....