Cifra Club

Mapendo

Malkia Karen

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mapenzi mapenzi ni kiza
Washa taa tuone
Nyoyo zinavyong'ara ng'ara
Mupenzi mapenzi ni tiba
Nipe yaniponye
Kwa raha nala nalala

Nyoyo zinameremeta yaani twapendana sisi
Kulumana lumana kutandikana makissi
Twatekenyana twatambiana hadithi
Hubby wangu boriti we zidi kukaza nati

Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo

Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aah, tunapendana sana
Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aah, tunapendana baba

Aah, aah, eeh eeh

Mepenzi ya kupimiana sitaki
Kwenye kibaba si haki ooh
Nipe yote ulowekeza kweny mtima
Vinyama nyama sitaki
Vya mishikaki oooh
Halitoshi hata paja
We nipe tu mwili mzima

Unipepete pepete kama kiberenge
Unibemende bemende hata nisitembee eeh
Unipapase kongote rungu la madenge eeh
Nikupe mgongo upande na popote twendee

Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo
Nina maa, mapendo
Mapendo, mapendo

Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aah, tunapendana sana
Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe
Aah, tunapendana baba

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK