Cifra Club

Itakuwaje (feat. Ali Kiba)

Maua Sama

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

MAUA Sama
Yeah
Gini x66

Nilisema sitopenda, nimependaa
Pendaa tena, aah (aah)
Sasa nimeshatekwaa, mi nimetekwaa
Oh, tekwa tena

Yani kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili

Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?

Maapenzi anayonipa
Sitomwacha hata aniache katakata
Kwa gari nimeshafika
Sitoshuka hata anishushe katakata

Kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili

Mi nawaza, akiniacha (uanze wewe? Saa itakuwaje?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha (uanze wewe au mimi?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?

Mi nawaza, akiniacha
Aa saa itakuwaje, beibeeii?

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK