Cifra Club

Wivu (feat. Aslay)

Maua Sama

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Vimambo vyangu natupa kule
Sinegen’geneki nikafa bure
Kwako ni mfu msukule
Kwa baby yake piga kelele

Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Niko jikon nasonga ugali
Uje ule baba we

Roho yangu safi Mungu kanipa
Ninachotaka kwa wakati na-enjoy
Sitaki kuwa Mswati nimeridhika
Michepuko na Mwendokasi bye bye

Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matamu
Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patamu

Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu tunavyopendana
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu tunavyopendana

Wanajua nilivyoshibana nawe
Ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh
Wanajua tunavyopendana
Me na we wanaona wivu tunavyopendana

Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani
Uwe na mimi tu ndani
Uwe na mimi mwandani, aii wewe
Nshakolea penzi me nipo mahabani
Sipingi sibishani
We ndo wakwangu mimi nielewee

Uzuri hutaki pochi, hutaki noti
Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti
Benzema Mess pasi kwa pasi
Mi na wewe

Mpaka naunguza mboga ayo maneno yako yalivyokuwa matamu
Nahisi kuwa muoga maana nna wivu na ndo ushanshika patamu

Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu tunavyopendana
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu tunavyopendana

Wanajua nilivyoshibana nawe
Ndo mana wanaona wivu tunavyopendana oh oh oh
Wanajua tunavyopendana
Me na we wanaona wivu tunavyopendana

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK