Cifra Club

Fungua Macho

Mercy Masika

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Wateule
Tulioweka imani kwa yule
Aliyetufia

Wateule
Tulioweka imani kwa yule
Aliyetufia
Sauti ya shaka, sauti yasema
Hatutasimama, hatutaendelea
Na sisi twasema, tutasimama
Mungu yuko upande wetu
Mkristo simama!

Fungua macho
Uone jeshi la malaika
Limetuzingira
Fungua macho
Uone jeshi la malaika
Tutashinda vita

Wateule
Tunaomuishia yule, anayetupenda
Wateule
Tunaomuishia yule, anayetupenda
Mawazo ya shaka, mawazo yasema
Hatutashinda, hatutaendelea
Na sisi twasema, tutashinda
Mungu yuko upande wetu
Tutasimama!

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK