Cifra Club

Subiri (feat. Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru)

Mercy Masika

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Afadhali kungoja kumgoja bwana
Subiri, subiri bwana

Usichukue njia ya mkato
Usipotoshwe na shauri la wasio haki
Heri mtu yule, afuataye sheria ya bwana
Atakuwa kama mti, kando kando ya maji
Huzaa matunda, kwa majira yake
Kila atendalo atafanikiwa

Umekuwa na maswali mengi mno
Unashangaa mungu yuko wapi
Umebisha bisha mungu yuko wapi
Kufunga na kuomba
Kukesha na kuomba
Hupati majibu
Mungu sio mwanadamu, hadanganyi
Subiri kwa imani, subiri, wewe subiri

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK