'Cause leo ni kutesa
(Nadiaa)
Nadia
Form ni kutesa
(Fena nananana)
'Cause leo ni kutesaa
Yeah, yeah
Form ni kutesa
(Vicky pon dis)
Issa Friday night
Ita wenzako waambie
Kuna party tonight
No time sasa wakimbie
Chelewa chelewa mwana si wako
Na uchunge usije hepa na wako
Huo mchele usijetiliwa kwako
Baby
Ikibamba sana
Piga kelele wewe (eeh eeh)
Na kama ni noma sana
Piga kelele wewe (eeh eeh)
Boomerang dance on the dance floor
Fine girls dance on the dance floor
Hennessy pour on the dance floor
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa
Yeyeh, yeah, yeah
Baada ya kazi nimeingiza doh, sina pressure
Kwenye burudani nilipiga show, nilitesa
Big up dem fine gal in a pretty likkle skirt
Young man, in an African shirt
Wave your hand and do the odi dance and
Shake your bum like you know what you are worth
Uuh, all of the drinks on me
Mifuko imejaa leo, imejaa pesa
And if you look at me
Looku looku vile natesa
Uuh naikibamba sana wapi nduru wewee (eeh eeh)
Na kama ni noma sana piga kelele
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa
Ya, nikona form, usiku to dawn
Mbogi iko zone, imewasha kindom
Keti mbaya tukucon, tukuteke kwa chuom
Fena na Papa Jones, Nadia hapa ndo Don
Though simpati kwa phone, naskia ako Salon
Juu leo mi ndo the bomb, Club pia imechrome
Mbogi mpaka ya Ngong, imebambika na songs
Zile si huperform, rende pia ni wrong
Niko juu ya nyama ya Bama na kachumbari
Na juu ya diabetes chai hatuweki Sukari
Plans saa hizi zimetufikisha huko kariorkor
Walevi washaanza kulewa wamekalia floor
Huh, anaskia form ni kutesa
Tusimalize ganji ndo mtaa turudi kalesa
Waka nesa mavodo bila chaser
Hakuna kulala tunakesha tukitesa
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa
'Cause leo ni kutesa (tesa)
Form ni kutesa