Cifra Club

BAR (feat. Femi One)

Nviiri The Storyteller

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Bar
Baby twende kwa bar, bar
Bar
Twende kwa bar, bar

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

Aisha, unahatarisha maisha
Baba yako hunitisha
Ndio maana mi hupita kwa dirisha
Yeah, yeah
Aisha, nimekufuata hadi kwa kanisa
Misa imeshika
Ama ni zangu zimeshika

Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua vile nimekupenda mami ehh, oh
Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

[Femi One]
Nikiwa mdogo ulikuwa unaningoja bu
Pale kwa bustop
Miaka ikasonga na sa umejenga kabu
Kabungalow kako
Harusi, kanisa, alafu reception ni ba
Baada ya hapo
Ambia baba honeymoon tunaenda ba
Bang bang bang bang Bangkok

Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua vile nimekupenda mami ehh, oh
Usiogope kunionyesha vile unanipenda
Imani nimeweka kwako
Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh

Baby twende kwa ba ba baba yako
Nipeleke kwa ba ba baba yako
Sherehe kwa bar, bar
Vinywaji kwa bar, bar
Baby twende kwa ba ba baba yako
Baba yako

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK