Oh-ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'Ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana
Ooh, Sol Generation
I'm tha storyteller, aye, aye, aye
Ooh lawd
Naskia walevi huota na bia
Lakini kuna siri nitawaibia leo
See am not addicted to alcohol
Am not a victim, not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky
Kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi, Karura
Eey, situation hugeuka tricky, kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingo
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'Ana
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana
Someone please call 911
Tell them the storyteller has gone down
Ati alivunja shingo akalemewa
Akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivyo ndivyo alijichomea
Eeey situation imekuwa tricky
Kuona shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti kwa jela
Eeey situation hugeuka tricky, kwa hivyoo
Msiniweke kamba kwa shingo
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'Ana, ah
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana, ah
ooh, yeah, yeah
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung'ang'Ana, ah
Lakini, hawa wasichana
Vile nawapenda ni kama laana, ah
ooh, yeah, yeah