Ooh nanananana, ooh yeah
Sultan 001
Nah nah nah nah, ooh
Nimeacha pengo, bila ni wako upendo
Umenipa nuru, umenitoa gizani
Sina maelezo, nimeishiwa uwezo
Na mwomba aliye juu, anitoe kitandani
Nikawazaje? Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika
Ooh yeah, baba niwe
Ooh baba yangu, baba niwe
Ooh mungu wangu, baba niwe
Ooh mola baba eeeh, baba niwe
Ooh naona miujiza
Siamini moyo ndo najiuliza, ni mimi?
Walelo waliza
Kwa dua zao wakasimama na mimi
Nikawazaje? Ingekuwajeee?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje yeah yeah
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika
Ooh yeah, baba niwe
Ooh baba yangu, baba niwe
Ooh mungu wangu, baba niwe
Ooh mola baba eeeh, baba niwe
Hakuna kama wewe mola baba
Hakuna kama wewe mola baba
Alpha na Omega ye yeah
Alpha na Omega ye yeah yeah
Nah nah nah nah nah
Baba niwe, baba wewe ye ye yeah
Baba niwe, mola baba baba yeah
Baba niwe, baba wewe ye ye yeah
Baba niwe, mola baba baba yeah
Mola wewe yeah yeah
Baba yeah yeah