Cifra Club

Nitongoze (feat. Diamond Platnumz)

Rayvanny

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Weka shida chini glass juu tujipongeze
Usijali wanafki wambea chapa mziki wote tucheze

Enh Vanny boy
Chui
Platnumz
(S2kizzy baby)

Maswali mengi kwa waiter
Hauna hela nini (eeti)
Hiyo shingapi, hii shingapi
Hauna hela nini (eeti)
Maswali mengi kwa waiter
Hauna hela nini (eeti)
Ile shingapi, hii shingapi
Hauna hela nini

Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)

Eh bwana wee
Hela ya kodi, nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende, chukua mwingine sio kinyonge

Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze)
Yu kwapili?
Yu kwapili huyo? (Basi nitongoze)

Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo lipo wazi sema nitakubali

Eti unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (Basi nitongoze)

Eh bwana wee

(S2kizzy baby)
Zombie
Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer
Ash tuone boxer
Nyenyua shati ingia kati tuone boxer

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK