Cifra Club

Shikwambi

Rayvanny

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Eti umedataa
Amekuka mataa
Nyani kwenye mitego umenasa eeh
Ye ni chuma we sumaku kakuvutaa eeh
Unapiga bapa ya Savana
Club mabatani mwaongozana
Kumbe shikwambi wadanganywa
Unafuga wenzako wala nyama

Viatu vyako umeshona
Ye unamwonga vingi vingine havai
Unamwonga ananona
Na bado anawengi kwa hiyo usijidai
Viatu umeshona
Ye unamwonga vingi vingine havai
Unamwonga ananona
Na bado anawengi kwa hiyo usijidai

Shikwambi (shikwambi)
Uyo Shikwambi eeh
Ale Shikwambi
Uyo Shikwambi eeh

Ana sura nyingi za majonzi za furaha
Asikutekee eeh
Na Ana plan nyingi za kukuteka utoe chapaa
Na ni mapepee
Una tuma vocha kwa mikogo
Kumbe Ana chat na Chogo
Wenzako wana kula nzima we robo
Pungoza michecho na shobo

Viatu vyako umeshona
Ye unamwonga vingi vingine havai
Unamwonga ananona
Na bado anawengi kwa hiyo usijidai
Viatu umeshona
Ye unamwonga vingi vingine havai
Unamwonga ananona
Na bado anawengi kwa hiyo usijidai

Shikwambi (shikwambi)
Uyo Shikwambi eeh
Ale Shikwambi
Uyo Shikwambi eeh

Kuna wengine kawateka
Asikuteke nawe
Kua makini usidanganywe
Akiwa yuko nawe
Maanra muongo ooh
Maana muongo Shikwambi
Ana longo longo ooh
Longo longo Shikwambi

Viatu umeshona aah
Unamwonga ananona
Shikwambi
Uyo Shikwambi eeh
Ale Shikwambi
Uyo Shikwambi eeh
Yeah shikwambi Raymond baby
Uyo Shikwambi eeh

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK