Ayolizer
Nimeanza safari ya penzi na wewe
Usiikatishe eeh
Mungu mwema baba
Mbali atufikishe eeh
Mi binadamu nakosea
Nikiteleza usiuzunike eeh
Milele mwanadada
Nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu
Natamka niwewee
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu
Mama ni wewee
Imenishinda siri kifuani mwangu aah, aah
Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eeh
Ukawajue na ndugu zangu mama aah
Unipeleke nyumbani kwenu Bibi wewee
Nikawaone shemeji zangu mamaa aah
Siri ya nini (siri)
Nini maana yake ooh (siri)
Siri ya nini (siri)
Nini hasara zake (siri)
Siri ooh siri
Mapenzi ya siri ii
Ooh Mama loloo
Ooh Mama loloo
Ooh Mama loloo
Eeh mama
Nipe utamu kabla ujatamka usingizi
Si come mpaka tukiamka ni series
Kakonko twende kamara kibirizi
Mapaja yake utamu michirizi
Michepuko imenuna imezila siri siri
Na wee ni kachumbali mayonnaise pili pili
Pili pili manga tunakilikili wanga
Kilimanjaro nyumbani kwetu kisimili mwanga
Si mama Nikk simama Wima
Siri ya mapenzi nikufikishe kwa kina
Umebeba beba, mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba, mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Ooh Mama loloo
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooh Mama loloo
Sitoficha mdudu mapenzi
Ooh Mama loloo
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooh Mama loloo
Mama loloo ooh, ooh
Kwenye kamoyo mi sina (siri)
Je nikutaje ka jina (siri)
Wajue wenye fitina (siri)
Jembe nipo nalima (siri)
Basi nawe usifiche maa (siri)
Sema watupishe naa (siri)
Vichefuchefu watapishe naa
Penzi letu lisiishe m mi na wewee
(Wasafi)
Owe owe oweoo owe owe owaa
Owe owe oweoo owe owe owaa
Siri yanini
Nini maana yake
Siri ya niini
Nini hasara zake
Wasafi Records