Cifra Club

Dakika Moja

Ruby Tanzania

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ooh, ooh
Hey yeii yeah

Sukari imegeuka chumvi
Aka amegeuka chui
Matope yamekuwanga vumbi
Maziwa yamegeuka tui

Upendo na baba ni kwa zamani
Siku hizi kufa kufaana
Upendo hauna dhamani, hey
Upendo na mama mama mama ni kwa zamani
Siku hizi kufa kufaana
Upendo hauna dhamani

Dunia ina raha yake iyee
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake iyee
Na mabaya yamo humo

Ukifika nenda mwambie
Dakika moja tu
Mimi nataka niongee naye
Dakika moja tu

Akichelewa nitasubiri
Nitangoja tu
Ila nataka niongee naye
Dakika moja tu

Naona kama me nachomwa na jua
Usiku mkali, na maradhi naugua
Unanichanganya, navyo sema nazingua
Kisasi na salary, me nawaza nawazua

Aah, si ulikubali, kwa kila hali baba
Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba
Si ulikubali, kwa kila hali baba
Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba

Hee, dunia ina raha yake iyee
Na mabaya yamo humo
Na visanga vyake
Na mabaya yamo humo

Ukifika nenda mwambie
Dakika moja tu
Mimi nataka niongee naye
Dakika moja tu

Akichelewa nitasubiri
Nitangoja tu
Ila nataka niongee naye
Dakika moja tu

Mwambie azibe nyufa
Akichelewa nitakufa

Hey
Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sawa, sawa sawa

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK