Haiyaa eh tuko na dillie
Na Sanaipei kwa mara ya pili
Oh dondo oh koko
Aha dondo ooh koko
Dondoka dondo kokota koko
Heh twende sasa ooh
Sijakukataza kaka
Kula kwa macho ukitaka
Akilini mafikira jaza kini weh
Usidanganye na wala si mali ya mtu
Chunga usije kafanya kutu
Mda mrefu kisu huwa gutu kini weh
Wajuaje
Piga domo mitaani
Ati wanijua tangu zamani
Mimi na weh wapi kwa wapi
Weh sini
Sinijaji eeh, sinijaji ooh
Sinijaji eeh, sinijaji ooh
Hunijui weh, wanijuao
Waujua weh, wangu msimamo heh
Simama imara, ujiringe
Simama imara, ujilinde
Simama imara, watu wote
Eh, wakuone
Papapapara
Papapapaara
Papappara
Hey mbiu ya mgambo heya
Ikilia kuna jambo heya
Matamshini mwako
Hamna moshi wala moto
Una papara ka tarumbeta
Kisha kinaga bila kusita
Sambaza balaa kila kukicha
Huna haya wewe
Piga domo mitaani
Ati wanijua tangu zamani
Mimi na weh wapi kwa wapi
Weh sini sini
Sinijaji eeh, sinijaji ooh
Sinijaji eeh, sinijaji ooh
Hunijui weh, wanijuao
Waujua weh, wangu msimamo heh
Simama imara, ujiringe
Simama imara, ujilinde
Simama imara, watu wote
Eh, wakuone
Papapapara
Papapapaara
Papappara
Una choko choko chokoza
Nazo longo longo longo zako
Si ho sio sio hoja watakija dondoa
Una choko choko chokoza
Nazo longo longo longo zako
Si ho sio sio hoja watakija dondoa
Pinga domo mitaani
Ati wanijua tangu zamani
Mimi na weh wapi kwa wapi
Weh sini sini
Sinijaji eeh, sinijaji ooh weh sini
Sinijaji eeh, sinijaji ooh
Hunijui weh, wanijuao
Waujua weh, wangu msimamo heh
Simama imara, ujiringe
Simama imara, ujilinde
Simama imara, watu wote
Eh, wakuone
Papapapara
Papapapaara
Papappara
Ujiringe eh
Ujiringe eeh watu wote eeh
Watu wote eeh
Watru wote wakuone
Twende wewe
Tupe dondo
Ama twende tukoko
Chaguo