Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh, ooh, oh, hoo
Maishani najua umepitia wengi
Wanene, wembamba, weupe hata weusi
Lakini bado tu haujampata
Malikia wako
Wengi wao wamekuumiza sana moyo
Nasikia mpaka umeamua
Kuachana na jambo hili la mapenzi
Uishi peke yako
Ila nakwambia ukinipa nafasi
Nitakukamilisha, ridhisha, furahisha
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh, ooh, oh, hoo
Usisite, usiwe na wasi wasi
Ukweli ni kwamba mimi si kama wao
Tabia zangu sio kama zao
Na nia yangu tofauti na yao
Si vizuri uishi mwenyewe
Wakati mimi nipo kwa ajili ya wewe
Njoo kwangu mimi basi upate mapenzi
Ya kweli
Hivyo nakwambia ukinipa nafasi, nafasi
Sitoku badilisha, atarisha, sikitisha
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh ooh oh hoo
Nafurahi kuona unajidai, you're so beautiful girl
Usinikatae ili baadae wasikushangae you know
You look so cute, uko sexy, you're so amazing girl
I see Fid Q next to you, so it's crazy yo
Nadata-ta-ta na viwalo unavyonyuka
Kama Sea Sea we Mivalo na Nguza ah
Nikikuona natoka na goosebumps
Walionichuna kama buzi, nawaona ka bubblegums
Mimi na wewe kama Sharoz na Jaffarhymes
We ni mafia kama Carlos, ulivyoniteka sijifahamu
Waache wale kona, nashukuru pia uliwaona
Walivyotusimangia dona, na nguli wa kuchoma
Walinitumia tu kama njia, ya kuwasafishia nyota
Wakan'kimbia, wakarudia wakalia mpaka wakachoka
Kidume, nasimama kiume kama Juma
Demu akinipenda nampenda, akinizingua namuacha nyuma
Ni zamu yangu
Mimi kuwa nawe
Ni zamu yangu
Wewe kuwa nami
Ni zamu yangu
Oh, ooh, oh, hoo
Ni mimi na we
Mimi na wee