Cifra Club

Yebo

Vestine and Dorcas

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mwokozi wangu, nakuitaji zaidi
Na mwoyo wangu, unaliya uwepo wako
Nimejalibu on my own, lakini siwezi
Nakutegemeya usiniache kamwe

Nikiwa bado napumua, jina lako ndilo nitajivunia
Tena sitaki kitu ca kunikataza, kuwa chombo chako

Najua kwamba mimi ni wako, unanipenda tena sana
Nuru yako imenitowa gizani sitaogopa kamwe

Nitawale sasa na hata milele bwana
Overpower all of me, the way you truly
Desire
Natamani kuongozwa na mkono wako
Wenye nguvu the fresh air into my heart
Amen, amen -amen
Yebo- yebo jesu, yebo, yebo jesu
Yebo -yebo ngidinga wena

E'mungu nitumikishe, katika fahida za mbingu
Nisimamiye vizuli, ufalme wako
Ndani ya ulimwengu

Najaze nguvu nipambane, uzaifu wangu uondowe
Nidhalawu mishale ya machungu hadui anaonipiga

Hawa wanataja magari, wengine wanataja mafarasi
Bali sisi tunalitaja hilo jina la bwana x 3

Nitawale sasa na hata milele bwana
Overpower all of me, the way you truly
Desire
Natamani kuongozwa na mkono wako
Wenye nguvu the fresh air into my heart
Amen, amen -amen
Yebo- yebo jesu, yebo, yebo jesu
Yebo -yebo ngidinga wena

Najua kwamba mimi ni wako, unanipenda tena sana
Nuru yako imenitowa gizani sitaogopa kamwe

Hayayaya, sitaogopa kamwe/ bonde mauti
Sitaogopa kamwe/ sitaogopa sitaogopa kamwe
Kwenye shimo la simba, sitaogopa kamwe
Katika giza tupu/sitaogopa kamwe

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK