Cifra Club

Nikomeshe (feat. Dully Sykes)

Harmonize

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ooh no
Kesi serious, chii
Konde boy

Kwacho kwacho kwapa (brr okey)
Wanishika kwa hapa (brr okey)
Kwacho kwacho kwapa (brr okey)
We nishike kwa hapa

She is so fine, anapendeza hata bila vipodozi
Eeh, and I love she giving me over dozi
Eeeh, I love the way you move your body
(Eeh eeh body ooh)
Unanipandisha midadi (eeh eeh body ooh)

Eeeh eeh, kachiri kachiri saga
Inuka funga kanga, kachiri saga
Matajiri matajiri saga
Huko wanajipanga matajiri

Basi go down, kwa nyuma
Fanya kama mbuzi amegoma
Slow down kwenye kona, ii
Mwisho wa reli kigoma

Nikomeshe
Mpaka chini waonyeshe
Aah, asa beiby nikomeshe
(Fanya kama unadunda, aah unadunda)
Mpaka chini waonyeshe
(Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba)
(Ii, fanya kama unadunda, aah unadunda)
(Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba)

Nasema sikuwatch, beiby nakukunda
Unavyo ilamba mie hoi
Unajuwanga kuni touch
Nani kakufunda, hiyo misamba sikohoi

Eeeh, waking'ata nakuuliza we
Kwa jiko watenga ni kuunguza kisoi
Yaani tuzidi kuwaumiza we
Naleta washenga tuwaache igizo we

Itafune ing'ate ka big g
Aah kama big g
Kisha nikumbate tujigiji
Aah tujigiji

Nikomeshe
Mpaka chini waonyeshe
Aah, asa beiby nikomeshe
(Fanya kama unadunda, aah unadunda)
Mpaka chini waonyeshe
(Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba)
(Ii, fanya kama unadunda, aah unadunda)
(Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba)

Ebo anafanyaje tena?
Analenga, anale
Anaonyesha maufundi
Analenga, anale

Hii, uno la mgambo kama gundi
Analenga, anale
Anafanya kama anapanda juu ya dari
Analenga, anale

Hii kameinuka kichaa kichaa
Analenga, anale
Eeey, brr okey
(Omg is spenser)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK