Cifra Club

Show Me (feat. Rich Mavoko)

Harmonize

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ayoo Lizer
Wasafi Records

Aah mwenzako I feel so good kipindi nikikuona
Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
Wakati unakwenda au unarudi wakata kona
Nyuma ka katuni za masudi ulivyonona

Eeeh, hivi unapenda wa vifua ka roboti
Ama sanamu
Au wazee wa kununua mwaga noti
Akina sallam

Ooh oh anita macho kama unaniita (aahaa)
Saa sita shepu vera sidika (aahaa)
Anita macho kama unaiita (aahaa)
Saa sita shepu vera

Ah show me, show me
Show me (unavyodance)
Show me, show me
Show me (waonyeshe unavyodance)
Aah show me (eeh) show me
Show me (unavyodance)
Show me (eeh) show me
Show me (waonyeshe unavyodance)

Umenifinyanga kama dona mmakonde na ndonya
Kama mpira maradona kichuya kona
Na wakisema na mawenge waambie Werrason
Wakiringisha peremende nitakugawia koni
Chunga kipenzi majaribu mabaya sana ooh
Na wewe ndo dokta wa kunitibu niwe salama ooh

Ooh baby anita macho kama unaniita (aahaa)
Saa sita kiuno ka yondo sister (aahaa)
Anita macho kama unaniita (aahaa)
Saa sita kiuno ka yondo sister

Ah show me, show me
Show me (unavyodance)
Show me, show me
Show me (waonyeshe unavyodance)
Aah show me (eeh) show me
Show me (unavyodance)
Show me (eeh) show me
Show me (waonyeshe unavyodance)

(Wasaafi)
Asa mombasa nairobi (sakata dance)
Kampala kigali (sakata dance)
Zimbambwe kwatobi (sakata dance)
Naija somali (toto sakata dance)
Wanangu wa panya road (sakata dance)
Chaukucha kwa sadali (sakata dance)
Na unyamani biomi (sakata dance)
Kizonga kwa natali (toto sakata dance)
Aahaa aahaa aahaa (unavyodance)
Aahaa aahaa aahaa (waonyeshe unavyodance)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK