AM Records
Haba
Kwanza kabisa thanks to the Lord (to the Lord)
Uzuri wako si wa kudownload (wa kudownload)
Unanishangaza kila siku mi sichoki
Mwingine kama wee mi sitaki
Wewe ndiyo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mami
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndiyo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami
Ni wewe tu, tu baby, wewe
I'll give you everything yeah
I'll give you everything
(Unanivuruga eeh, unanivuruga)
I'll give you everything darling
I'll give you everything
(Unanivuruga eeh unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki
Funguo nikukabidhi wee
(I'll give you everything)
Nitakupa moyo wangu na noti
Chochote unachotaka wee
(I'll give you everything)
Ah ya, yaa
Ah, yaa, yaa, yaa, yaa, yaa
Una rangi ya chocolate
Magnetic, romantic
Jinsi ulivyo humble baby so sexy
Wanivuta zaidi
Kurudi nyumbani late mi sitaki
(Kurudi nyumbani late mi sitaki)
Sababu nina wivu moyoni ukiwa mbali
(Sababu nina wivu moyoni)
Wewe ndiyo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mami
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndiyo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami
Ni wewe tu, tu baby, ni wewe
I'll give you everything yeah
I'll give you everything
(Unanivuruga eeh, unanivuruga)
I'll give you everything darling
I'll give you everything
(Unanivuruga eeh unanivuruga)
Nitafunga moyo wangu sitoki
Funguo nikukabidhi wee
(I'll give you everything)
Nitakupa moyo wangu na noti
Chochote unachotaka wee
(I'll give you everything)
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Unanivuruga my mama
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Unanichanganya, yaani sioni sisikii
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Yaani siwezi, mama siwezi
Unanivuruga eeh
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Yaani mimi kwako sisikii baby
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Yeah
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Unanivuruga
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)
Unanichanganya changanya
(Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)