Cifra Club

Sugua (feat. Diamond Platnumz)

Jux

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

S2 Kizzy, baby

Simsima, toto mpe funguo za bima
Anitoa Bongo nimefika mpaka China toto
Zipuka kishungi nimezima
Amenipa lunch nimekula mpaka dinner yeah

Santana santana
Kitandani maji maji yanapambana
Kanainama kanainama
Kanavyoiokota kama ua sama

Wakali kwili kwili sikopeshi (sikopeshi)
Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki)
Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi)
Kamenikiri kiri mara kesi

Asa nionyeshe alichokupa mama
Sugua, sugua, sugua
Sugu sugu sugu (mama wee)
Sugua, sugua, sugua
Sugu sugu sugu

Utapenda pini pini ama kitaka
Nikupe kwa chini chini ama kwa ngoko
Ngweli sabini bini ama kimako
Chenga mwilini lini Jonny Boko
(Brr okey)

Udi Udi udi udi (udi)
Katoto kako gudi gudi gudi (gudi)
Mudi mudi mudi mudi (mudi)
Navyokatafuna kama fudi

Oyaa, katoto dosalale (eeh dosalale)
Nakapa fishi kambale (eeh kambale)
Kibidu bidua (ooh bidua)
Pindu pindua (ooh pindua)
Yaani nakachimbu chimbua (ooh chimbua)
Nambandika bandua
Ooh dada de yaani kama gaga limekwama kwenye guu

Sugua, sugua, sugua
Sugu sugu sugu (mama wee)
Sugua, sugua, sugua
Sugu sugu sugu

Baby, wakiweka unaweka (weka hatuoni)
Ukichomoa unachomeka (weka hatuoni)
Weka weka weka mpaka down (weka hatuoni)
Komesha watoto wa town (weka hatuoni)

Weka kama unasusa (weka hatuoni)
Nisogezee kisambusa (weka hatuoni)
Weka weka weka mpaka down (weka hatuoni)
Nikomeshee watoto wa town (weka hatuoni)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK