Cifra Club

Wivu

Jux

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

AM Records
Eiyeh

Niamini leo hii
Sitamani mwingine tena
Kazi zangu mishemishe
Nitarudi nyumbani mapema
Unachonipa baby, sitokaa nikuumize
Na zile raha unazonipa, wewe

Napenda unavyokata na kunipa taratibu
Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu, unanipa raha

Unavyokata na kunipa taratibu
Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu ila ilaa

Husije fanya visa mina wivu
Na moyo utaniumiza mina wivu
Na hofu watakuteka mina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu

Naandika ngoma ya mapenzi nakuona wewe
Na vinanda vya bob vya bembeleza
Nishagoma kwingine, kwako nipewe
Umeniteka mazima nimelegeza

And everything I do for you
Is from my heart as you know
Na kila siku mimi
Napambana we ubagamee

Napenda unavyokata na kunipa taratibu
Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu, unanipa raha

Unavyokata na kunipa taratibu
Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu ila ilaa

Husije fanya visa mina wivu
Na moyo utaniumiza mina wivu
Na hofu watakuteka mina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK