Cifra Club

Kelele (feat. Ruby)

Kusah

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

We umenikaa, umenikaa kwa roho
Nafsi mpaka akili yangu
We dada umenibamba mmh mhh
Ooh darling, halafu tumetokaga mbali mmh
Sioni dalili ya kukuumiza ukalia
Halafu darling, mwenzako nakupenda kweli
Tufike wawili, sitaki mwingine kwa safari

Penzi letu lime-takeover
Nimekunywa, nina hangover
Umegeuka gari, umenigonga mmh mhh
Penzi letu lime-takeover
Nimekunywa, nina hangover
Umegeuka gari, umenigonga
Umenishika kichwa, umeninyonga

Ila kelele lele, wana kelele lele
Kelele lele, wana kelele lele
Ooh kelele lele (maneno ya kando kando)
Wana kelele lele (hawanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha baba)
Wana kelele lele (iye iye iye)

Wale walinidhurumu, nikawapa wakaiba
Ukaifuta na sumu, ukaijenga na huba
Baba baba niongezee, nipe vyote nikumbate
Na mahaba nipe yotee, wale wasinikamate iyee

Penzi letu lime-takeover
Nimekunywa, nina hangover
Umegeuka gari, umenigonga (uuh uuoh)
Penzi letu lime-takeover
Nimekunywa, nina hangover
Umegeuka gari, umenigonga
Umenishika kichwa, umeninyonga

Ila kelele lele (maneno ya kando kando)
Wana kelele lele (hayanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha mama mama)
Wana kelele lele (iye iye iye)

Ooh kelele lele (maneno ya kando kando)
Wana kelele lele (hawanaga mipango)
Kelele lele (yatakwisha baba)
Wana kelele lele (iye iye iye)

Maneno ya kando kando
Hayanaga mipango
Yatakwisha mama mama
Iye iye iye

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK