Cifra Club

Nakupenda (Part 1)

Kusah

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ilianza kama stori
Ni historia
Ninapendeza kweli kweli
Ni historia

Mashallah amejaliwa
Ana sifa zote za kusifiwa
Nampenda, nampenda

Wacha mimi wakiniona na suti
Naona shelana
Kanisani tukipiga magoti
Nikiapa nawe

Ndipo watasema sijatania
Nakupenda oh mama mia
Uzuri wako we asilimia mia
Hakuna kama we mimi nakulilia

Ooh oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh
Hakuna kama wee, dada wee
Ooh oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh, oh
Mi kwako nimefika tamati

Kutazama kushoto kulia
Nakuona wewe tu
Kwenye dunia hii, tumeumbwa wawili
Ni mimi na wewe tu

Sasa usije iba hii furaha yangu
Mi ukaondoka nayo
Nitalia lia lia
Nitaumia mama
Nitalia lia lia lia lia lia

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK