Penzi unalionea
Waizunguka njia
Ukuta nilioegemea
Leo wanichafua
Hata ujiteteaje
Story zako mi napewa
Waona unanionaje
Kunivuruga kila mara
Kwani sisi tupo wangapi
Ama mimi mshika shati
Na chakula hakiliki baba we
Kila siku kesi kesi
Kwani sisi tupo wangapi
Ama mimi mshika shati
Na chakula hakiliki baba we
Kila siku kesi kesi
Nimechoka mwenzio (lawama)
Oh, oh (lawama)
Sina swaga yeyote (lawama) na wewe (lawama)
Ujuzi wangu wa zamani (ni noma, ni noma)
Kila ninachofanya hakuna (ni noma, ni noma)
Aiyaa aiyaaa
Ona moyo unalipuka
Maana uishi kunizuga zuga
Tena umegeuka yuda
Sikomi kunisulama
Nia yako niumie
Tezo naiweka embe
Maruhani nisaidie
Panda palipo na pete
Kwani sisi tupo wangapi
Ama mimi mshika shati
Na chakula hakiliki baba we
Kila siku kesi kesi
Kwani sisi tupo wangapi
Ama mimi mshika shati
Na chakula hakiliki baba we
Kila siku kesi kesi
Nimechoka mwenzio (lawama)
Oh, oh (lawama)
Nimechoka na wewe (lawama)
Mapenzi yangu ya zamani (ni noma, ni noma)
Kila ninachofanya hakuna (ni noma, ni noma)