Cifra Club

Nainama

Pitson

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine
jina yesu likitajwa nainama nainama

mwamba imara kwako niko salama
nikupe nini mungu usiyeshindwa
mwamba imara kwako niko salama
nikupe nini mungu usiyeshindwa

jina lako yesu limeshinda yote
nikipata yesu nimepata yoote
mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe)
mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe)

duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine
jina yesu likitajwa nainama nainama
nainama nainama

wakati wa dhiki, wewe ndiwe faraja
wakati wa kilio wewe ndiwe furaha
unanijua baba siwezi jificha
macho yako baba yako kila pahali

jina lako yesu limeshinda yote
nikipata yesu nimepata yooote
mkate wa uzima (niwe), mfalme wa amani(niwe)
mkate wa uzima (niwe),
mfalme wa amani(niwe) niwe niwe niwe

duniani na mbinguni hakuna mungu mwingine
jina yesu likitajwa nainama nainama nainama nainama

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK