Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Yaani tunazoa zoa
(It's S2kizzy beiby)
Mwaga jasho miguu iwake moto
Timua vumbi, timua
Kisigino kibebwe na ugoko
Timua vumbi, timua
Ruka ruka tusiamshe popo
Timua vumbi, timua
Vua shati ukisikia joto
Timua vumbi, timua
Saa tunakisanua, vumbi
Tunawachafua, vumbi
Tunawapa mafua, vumbi
Vumbi, timua vumbi
Tunakata funua, vumbi
Wakazingua, vumbi
Tunawapa mafua, vumbi
Vumbi, timua vumbi
Wanatukimbiza Wasafi eeh
Wapo makundi makundi
Lakini hawatupati eeh
Tunawaachia vumbi
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Ooh kama mashine ya koboa mpunga
Timua vumbi, timua
Aah Tsunami changanya na kimbunga
Timua vumbi, timua
Kama gwaride ka la jeshi, timua
Kwa mchanga simiti, timua
Chana jamvi kapeti, timua
Timua vumbi, timua
Timua mchanga
Kama unalicheza vanga
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Timua mchanga
Kama unalicheza vanga
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Asa kachili saga, saga saga
Kamatia zaga, zaga zaga
Nisugulie gaga, gaga gaga
Kinaga ubaga, twende Timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Timua vumbi, timua
Mwendo kama farasi
Ooh, ooh tunawatimua timua
Kasi kama risasi
Ooh, ooh tunawatimua timua
Tuko nduki kibati
Ooh, ooh tunawatimua timua
Hawatukamati
Ooh, ooh tunawatimua timua
Shika, hasa kitimue, timu timu
Yaani chimba, timu timu
Fukua fukua, timu timu
Chimba chimba, timu timu
Eeeh vidole chepeo, timu timu
Kiuno mpini, timu timu
Fanya kama goleo, timu timu
Ifukue kwa chini, timu timu