Cifra Club

Sio Poa

YPrince

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mama hoi tabani yani hajiwezi
Kwenda shule sitamani nguo kama chizi
Mazao hakuna shambani masika kiangazi aah aahh
Ona tunaishi nakula kwa mgomo (ni bara)
Japo wananipa moyo nisijali, huumm
Tuna madeni afadhali ya jana (ya jana aah)
Shamba linatafutiwa madalali (yele yele)

Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa

Tushakesha si na Godi
Kwa visomo na nyingi dua
Habari ngi zangelazi
Nasi tupate kupumua
Ye Baba bize na konyagi
Kila siku analewa
Hapataki ata nyumbani
Ameitenga familia aah

Namuoanea huruma mama aaah
Japo sina lakufanya
Namuonea huruma mama
Ila sina lakufanya

Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa
Aah aah, sio poa

Sio poa, sio poa
Namuonea huruma mama
Sio poa!

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK