Cifra Club

Yalaaaa

Zuchu

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mmmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua
Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee

Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa

Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kama samaki hulumangia
Huanza kichwa mpaka na mkia
Naiomba serikali
Kijana apelekwe mbali
Ananifanya silali, siwazi, sitafakari

Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa
Yalaaaa, yalaaaa

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK