Kama sos
Mi ndio Boss
Mi ndio worldboss
Mariaa ah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Mariaa ah
Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh
Mariaa ah
Nakupenda nakwambia girl
Mariaa ah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Kuna vile mi nahisi umenifanya mi nisinzie eeh
Ni kama unanichoma mi nisipokuona roho oo
Hadi nitakuja very quickly baby mi ukiniita we
Kuna vile mi nahisi kwangu sio rahisi wee
Kuna Maria anapenda pesa (pesa)
Kuna Maria anapenda nature
Na pia kuna Maria ukimpata
Ukitaka utaitapa hatakuwacha ukiteseka
Kila siku yako shamba utaifyeka
Vizuri tena sana ataiweka
Wangu Maria kumpata si rahisi
Si kama wale hupatikana hivi hivi
Maria mzuri ni yule unaweza mturn bibi
Maria bado anaweza kufanya uchizi
Ukamkosa kwa wiki amini usiamini
Kumpata Maria yule wako si rahisi
Maria nakueleza vile anahisi
Maria tabia si ati kingi
Chunga marafiki wengine wanafiki
Tunza wako poa na nko sure mtakaa fiti
Mariaa aah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Mariaa aah
Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh
Mariaa aah
Nakupenda nakwambia girl
Mariaa aah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Kuna vile mi nahisi umenifanya mi nisinzie eeh
Ni kama unanichoma mi nisipokuona roho oo
Hadi nitakuja very quickly baby mi ukiniita we
Kuna vile mi nahisi kwangu sio rahisi wee
Am fine with the girl like you
Girl niko fine tu na wewe
Infact sikutake out tu
Niko serious sa you will know that
Zzero niko in love with you
Eeh beiby scream my name
Ju nataka twende far with you
No lies no limits beiby
Am fine with a girl like you
Girl niko fine tu na wewe
Infact sikutake out tu
Niko serious sa you will know that
Mariaa aah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Mariaa aah
Si nilikupenda vile mi hupenda ki sssh sssh
Mariaa aah
Nakupenda nakwambia girl
Mariaa aah
Ukiniwacha utaniumiza girl
Kuna vile mi nahisi
Umenifanya mi nisinzie eeh
Ni kama unanichoma
Mi nisipokuona roho oo
Hadi nitakuja very quickly
Baby mi ukiniita we
Kuna vile mi nahisi
Kwangu sio rahisi wee